1 Nya. 21:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Tena shetani akasimama juu ya Israeli, akamshawishi Daudi kuwahesabu Israeli.

2. Basi Daudi akamwambia Yoabu, na wakuu wa watu, Nendeni kawahesabu Israeli toka Beer-sheba mpaka Dani; mkanipashe habari, nipate kujua jumla yao.

1 Nya. 21