1 Nya. 1:1-5 Swahili Union Version (SUV)

1. Adamu, na Sethi, na Enoshi;

2. na Kenani, na Mahalaleli, na Yaredi;

3. na Henoko, na Methusela, na Lameki;

4. na Nuhu, na Shemu, na Hamu, na Yafethi.

5. Wana wa Yafethi; Gomeri, na Magogu, na Madai, na Yavani, na Tubali, na Mesheki, na Tirasi.

1 Nya. 1