1 Fal. 10:26 Swahili Union Version (SUV)

Sulemani akakusanya magari na wapandao farasi; naye alikuwa na magari elfu na mia nne, na wapandao farasi kumi na mbili elfu, aliowaweka katika miji ya magari, na pamoja na mfalme huko Yerusalemu.

1 Fal. 10

1 Fal. 10:18-29