Zekaria 6:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Farasi hao walipotokea walikuwa na hamu sana ya kwenda kuikagua dunia. Naye malaika akawaambia, “Haya! Nendeni mkaikague dunia.” Basi, wakaenda na kuikagua dunia.

Zekaria 6

Zekaria 6:2-14