Zekaria 13:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Theluthi hiyo moja itakayosalia,nitaijaribu na kuitakasa,kama mtu asafishavyo fedha,naam, kama ijaribiwavyo dhahabu.Hapo wao wataniomba mimi,nami nitawajibu.Nitasema, ‘Hawa ni watu wangu’,nao watasema, ‘Mwenyezi-Mungu, ndiye Mungu wetu.’”

Zekaria 13

Zekaria 13:1-9