Zekaria 12:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Siku hiyo kutakuwa na maombolezo makuu mjini Yerusalemu kama maombolezo ya kumwombolezea Hadad-rimoni katika mbuga za Megido.

Zekaria 12

Zekaria 12:6-13