Zekaria 11:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa muda wa mwezi mmoja, nikaua wachungaji watatu wabaya. Tena uvumilivu wangu kwa kondoo ukaniishia, nao kwa upande wao, wakanichukia.

Zekaria 11

Zekaria 11:1-15