Zaburi 40:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Mimi ni maskini na fukara, ee Bwana;lakini ee Bwana wewe wanikumbuka.Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu;uje, ee Mungu wangu, usikawie!

Zaburi 40

Zaburi 40:11-17