Zaburi 40:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Sikuuficha moyoni mwangu ukombozi ulionijalia,nimetangaza daima kuwa wewe ni mwokozi mwaminifu;sikulificha kusanyiko kubwa la watufadhili zako na uaminifu wako.

Zaburi 40

Zaburi 40:7-17