Zaburi 35:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Waone haya na kuaibika,hao wanaoyanyemelea maisha yangu!Warudishwe nyuma kwa aibu,hao wanaozua mabaya dhidi yangu.

Zaburi 35

Zaburi 35:1-5