Zaburi 28:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Nakulilia, ee Mwenyezi-Mungu!Ewe mwamba wa usalama wangu usiniwie kama kiziwi,la sivyo kama usiponisikiliza,nitakuwa kama wale washukao shimoni kwa wafu.

Zaburi 28

Zaburi 28:1-3