Zaburi 27:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu ni mwanga wangu na wokovu wangu,ni nani nitakayemwogopa?Mwenyezi-Mungu ni ngome ya maisha yangu,sitamwogopa mtu yeyote.

Zaburi 27

Zaburi 27:1-9