Zaburi 23:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Nijapopita katika bonde la giza kuu la kifo,sitaogopa hatari yoyote,maana wewe ee Mwenyezi-Mungu u pamoja nami;gongo lako na fimbo yako vyanilinda.

Zaburi 23

Zaburi 23:1-6