Zaburi 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)

msujudieni na kutetemeka;asije akakasirika, mkaangamia ghafla;kwani hasira yake huwaka haraka.Heri yao wote wanaokimbilia usalama kwake!

Zaburi 2

Zaburi 2:6-12