Zaburi 19:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Sheria ya Mwenyezi-Mungu ni kamilifu,humpa mtu uhai mpya;masharti ya Mwenyezi-Mungu ni thabiti,huwapa hekima wasio na makuu.

Zaburi 19

Zaburi 19:1-10