Zaburi 18:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Katika taabu yangu nilimwita Mwenyezi-Mungu,nilimlilia Mungu wangu anisaidie.Aliisikia sauti yangu hekaluni mwake;kilio changu kilimfikia masikioni mwake.

Zaburi 18

Zaburi 18:1-12