Zaburi 18:30 Biblia Habari Njema (BHN)

Huyu Mungu matendo yake hayana dosari!Ahadi ya Mwenyezi-Mungu ni ya kuaminika;yeye ni ngao kwa wote wanaomkimbilia usalama.

Zaburi 18

Zaburi 18:22-39