Zaburi 18:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Ulipowakemea maadui zako ee Mwenyezi-Mungu,ulipowatisha kwa ghadhabu yako,vilindi vya bahari vilifunuliwa,misingi ya dunia ikaonekana.

Zaburi 18

Zaburi 18:8-17