Yoshua 7:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Yoshua akawatuma watu kutoka Yeriko kwenda mji wa Ai, ulio karibu ya Beth-aveni, mashariki ya Betheli, akawaambia, “Nendeni mkaipeleleze nchi.” Nao wakaenda na kuupeleleza mji wa Ai.

Yoshua 7

Yoshua 7:1-7