Yoshua 20:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, kwa ajili hiyo wakaitenga miji ya Kedeshi katika Galilaya kwenye milima ya Naftali, Shekemu katika milima ya Efraimu na Kiriath-arba (yaani Hebroni) katika nchi ya milima ya Yuda.

Yoshua 20

Yoshua 20:1-9