Yoshua 19:1-3 Biblia Habari Njema (BHN) Kura ya pili ilizipata koo za kabila la Simeoni na sehemu yao ya nchi ilikuwa imezungukwa na ile ya kabila la Yuda.