Yoshua 10:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Mfalme Adoni-sedeki akapeleka ujumbe kwa mfalme Hohamu wa Hebroni, mfalme Piramu wa Yarmuthi, mfalme Yafia wa Lakishi na mfalme Debiri wa Egloni, akawaambia,

Yoshua 10

Yoshua 10:1-10