Yoeli 3:2 Biblia Habari Njema (BHN)

nitayakusanya mataifa yote,niyapeleke katika bonde liitwalo,‘Mwenyezi-Mungu Ahukumu.Huko nitayahukumu mataifa hayo,kwa mambo yaliyowatendea watu wangu Israeli,hao walio mali yangu mimi mwenyewe.Maana waliwatawanya miongoni mwa mataifa,waligawa nchi yangu

Yoeli 3

Yoeli 3:1-12