Yoeli 2:32 Biblia Habari Njema (BHN)

Hapo watu wote watakaoomba kwa jina la Mwenyezi-Mungu wataokolewa.Maana katika mlima Siyoni na Yerusalemu,watakuwako watu watakaosalimika,kama nilivyosema mimi Mwenyezi-Mungu.

Yoeli 2

Yoeli 2:31-32