Yoeli 2:28 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kisha hapo baadayenitaimimina roho yangu juu ya binadamu wote.Watoto wenu wa kike na wa kiume watatabiri,wazee wenu wataota ndoto,na vijana wenu wataona maono.

Yoeli 2

Yoeli 2:26-31