Yoeli 2:23 Biblia Habari Njema (BHN)

“Furahini, enyi watu wa Siyoni,shangilieni kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,maana amewapeni mvua za masika,amewapeni mvua ya kutosha:Mvua za masika na mvua za vuli kama hapo awali.

Yoeli 2

Yoeli 2:18-32