Yoeli 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Nzige, makundi kwa makundi, wameivamia mimea;kilichoachwa na nzige kimeliwa na tunutu,kilichoachwa na tunutu kimeliwa na parare,kilichoachwa na parare kimeliwa na matumatu.

Yoeli 1

Yoeli 1:2-11