Yoeli 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Sikilizeni kitu hiki enyi wazee;tegeni sikio wakazi wote wa Yuda!Je, jambo kama hili limewahi kutokea maishani mwenu,au nyakati za wazee wenu?

Yoeli 1

Yoeli 1:1-8