Yoeli 1:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Mbegu zinaoza udongoni;ghala za nafaka ni ukiwa mtupu,ghala zimeharibika,kwa kukosa nafaka ya kuhifadhi.

Yoeli 1

Yoeli 1:14-20