Yoeli 1:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Mashamba yamebaki matupu;nchi inaomboleza,maana nafaka imeharibiwa,divai imetoweka,mafuta yamekosekana.

Yoeli 1

Yoeli 1:8-18