Yobu 41:1-4 Biblia Habari Njema (BHN)

1. “Yeyote anayeliona hilo dude,hufa moyo na kuzirai.

2. Hakuna mtu yeyote mkali athubutuye kulishtua.Nani, basi awezaye kusimama mbele yangu?

3. Nani aliyenipa kitu, ili nitakiwe kumrudishia?Chochote kilicho chini ya mbingu ni changu.

4. “Sitaacha kukueleza juu ya viungo vya hilo dudeau juu ya nguvu zake na umbo lake zuri.

Yobu 41