Kwa amri yake vyote huzunguka huku na huko,kutekeleza kila kitu anachokiamuru,kufanyika katika ulimwengu wa viumbe.