Yobu 30:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Hofu kuu imenishika;hadhi yangu imetoweka kama kwa upepo,na ufanisi wangu umepita kama wingu.

Yobu 30

Yobu 30:9-24