Binadamu huchimba mashimo mbali na makazi ya watu,mbali na watu mahali kusipofikika,wachimba madini huninginia wamefungwa kamba.