10. Amechora duara juu ya uso wa bahari,penye mpaka kati ya mwanga na giza.
11. Mungu akitoa sauti ya kukemea,nguzo za mbingu hutetemeka na kustaajabu.
12. Kwa nguvu zake aliituliza bahari;kwa maarifa yake alimwangamiza dude Rahabu.
13. Kwa pumzi yake aliisafisha anga;mkono wake ulilichoma joka lirukalo.