Yobu 21:17 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mara ngapi umepata kuona mwanga wa maisha ya mwovu umezimwa,wakapata kukumbwa na maafa,au Mungu amewahi kuwaangamiza kwa hasira yake?

Yobu 21

Yobu 21:10-22