Yobu 12:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)

24. Huwaondolea viongozi wa watu ujuzi wao,huwafanya watangetange nyikani kusiko na njia,

25. wakapapasapapasa gizani kusiko na mwanga;na kuwafanya wapepesuke kama walevi.

Yobu 12