Kila mara unao ushahidi dhidi yangu;waiongeza hasira yako dhidi yangu,waniletea maadui wapya wanishambulie.