Yobu 1:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Akasema,“Uchi nilikuja duniani,uchi nitaondoka duniani;Mwenyezi-Mungu amenipa,Mwenyezi-Mungu amechukua;litukuzwe jina lake Mwenyezi-Mungu.”

Yobu 1

Yobu 1:17-22