Yeremia 9:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Maiti za watu zimetapakaa kila mahalikama marundo ya mavi mashambani,kama masuke yaliyoachwa na mvunaji,wala hakuna atakayeyakusanya.’Ndivyo alivyoniambia Mwenyezi-Mungu niseme.”

Yeremia 9

Yeremia 9:12-26