Yeremia 9:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Enyi wanawake, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu!Tegeni masikio msikie jambo analosema.Wafundisheni binti zenu kuomboleza,na jirani zenu wimbo wa maziko:

Yeremia 9

Yeremia 9:10-22