Yeremia 9:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi:“Fikirini na kuwaita wanawake waomboleze;naam, waiteni wanawake hodari wa kuomboleza.

Yeremia 9

Yeremia 9:12-25