Yeremia 9:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitaililia na kuiomboleza milima;nitayaombolezea malisho nyikani,kwa sababu yamekauka kabisa,hakuna mtu apitaye mahali hapo.Hakusikiki tena sauti za ng'ombe;ndege na wanyama wamekimbia na kutoweka.

Yeremia 9

Yeremia 9:4-17