Yeremia 8:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Hata korongo anajua wakati wa kuhama;njiwa, mbayuwayu na koikoi,hufuata majira yao ya kurudi.Lakini watu wangu hawa hawajui kitujuu ya amri zangu mimi Mwenyezi-Mungu.

Yeremia 8

Yeremia 8:1-15