Yeremia 8:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Sauti za farasi wao zinasikika,kwa mlio wa farasi wao wa vita,nchi nzima inatetemeka.Wanafika na kuiharibu nchi na vyote vilivyomo,kuangamiza mji pamoja na wote waishio humo.

Yeremia 8

Yeremia 8:8-19