Yeremia 7:29 Biblia Habari Njema (BHN)

“Nyoeni nywele zenu enyi wakazi wa Yerusalemu, mzitupe;fanyeni maombolezo juu ya vilele vya milima,maana, mimi Mwenyezi-Mungu nimewakataa nyinyi,mlio kizazi kilichosababisha hasira yangu!

Yeremia 7

Yeremia 7:21-34