Yeremia 7:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini hamkunisikiliza wala kunitegea sikio, ila mlizidi kuwa wakaidi, mkawa waasi kuliko hata wazee wenu.

Yeremia 7

Yeremia 7:22-27