Yeremia 6:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema,“Jivikeni mavazi ya gunia, enyi watu wanguna kugaagaa katika majivu.Ombolezeni kwa uchungu,kama mtu anayemwombolezea mwana wa pekee,maana mwangamizi atakuja,na kuwashambulia ghafla.

Yeremia 6

Yeremia 6:16-30