Yeremia 6:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Ya nini kuniletea ubani kutoka Sheba,na udi wa harufu nzuri kutoka nchi ya mbali?Sadaka zenu za kuteketezwa hazikubaliki,wala tambiko zenu hazinipendezi.

Yeremia 6

Yeremia 6:19-25