Yeremia 6:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Wote, tangu mdogo hadi mkubwa kabisa,kila mmoja anatamani kupata faida isiyo halali.Tangu manabii hadi makuhani,kila mmoja wao ni mdanganyifu.

Yeremia 6

Yeremia 6:9-21